Nafasi Ya Matangazo

May 12, 2012

Mbunge wa Monduli azungumza na wananchi wa Mto wa Mbu

 Waziri Mkuu Msataafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akisikiliza swali kutoka kwa mwananchi Mkazi wa Mto wa Mbu, mkoani Arusha juu ya kero mbalimbali zinazowakabili za kiusalama. Lowassa alifanya ziara hiyo jana ya kuzungumza na wapiga kura wake.
 Mbunge Lowassa akisikiliza majibu kwenda kwa wananchi yaliyokuwa yakitolewa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Mto wa Mbu, Mrakibu wa Polisi (SP) Morris Okinda
 Lowassa Akihutubia wananchi katika Mkutano huo wa Hadhara
Mbunge wa Jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungumza na kusalimia wananchi katika eneo la Mto wa Mbu wakati wa mkutano wake wa hadhara.

0 comments:

Post a Comment

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More